
BAADA ya kuwepo kwa akaunti feki ya Mtandao wa Kijamii wa Instagram, ambao ulikuwa unatoa taarifa mbalimbali kwa jamii kuhusu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Wizara kwa ujumla, kuanzia leo Desemba 30, 2018, wizara hiyo imetangaza rasmi kwa jamii akaunti halali zilizosajiliwa kwa jina la Waziri Kangi Lugola kama ifuatavyo:-
officialkangi_lugola (Instagram)
@kangi_lugola (Twitter)
