BREAKING: RAIS MAGUFULI Amuombea Dua Waziri Mkuu Mstaafu ICU!
Global Publishers January 2, 2019
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali.Januari 2 ,2019 Rais Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali leo Januari 2 ,2019Rais Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Amne Salim (Mke wa Dkt.Salim) ya kumuombea Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Magufuli amemjulia hali na kumuombea waziri mkuu mstaafu, Mh Salim Ahmed Salim asnaepatiwa matibabu katika Hospitali mojawapo jijini Dar es salaam.