HALOTEL YATOA MSAADA WA MATENKI, MASHUKA KIGAMBONI
Global Publishers January 7, 2019 4,708 views
SHARE THIS:
Naibumkurugenzi wa Halotel, NguyenVan Son (kushoto) akimkabidhi mashuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri (katikati) kulia ni mkurugenzi wa walaya hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri (wa kwanza kulia) akiangalia matenki yaliyotolewa na Kampuni ya Halotel.Wakishikilia bango lenye ujumbe wa shukrani kutoka Halotel.Baadhi yamatenki yaliyotolewa na Kampuni ya Halotel.