EXCLUSIVE: Johari Afunguka ‘kinachoua Bongo Muvi’ – VIDEO
Kiwanda cha Bongo Fleva kinaendelea kukua siku hadi siku na kutoboa anga kimataifa tofauti na kiwanda cha Bongo muvi ambacho kinapanda kwa spidi ndogo sana.
Global TV imepiga stori na Muasisi na mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula ‘Johari’ na kumuuliza kulikoni Bongo Muvi inaporomoka ambapo sababu kubwa aliyoitaja ni kunyimana sapoti wao kwa wao.
Comments are closed.