Nay Wamitego Anakukaribisha Kuitazama ‘Mbele Kwa Mbele’ Video Mpya
Rasmi Emanuel Elibariki maarufu kama Nay Wamitego ameachia video ya kwanza kwa mwaka 2019 ya wimbo wake mpya, Mbele kwa mbele.
Audio imetengenezwa na Gachib, kwa upande wa video imeongozwa na Hascana.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.