Taswira ilivyoonekana katika hafla hiyo yauzinduzi wa mashindano ya Usalama barabarani ‘Kamanda Cup’ Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai (katikati) akimuonyesha Meneja Uhusiana na Mawasikiano wa GSM Tanzania, Matina Nkurlu (Kushoto). … Matina Nkurlu akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi mashindano ya Usalama barabarani ‘Kamanda Cup’. Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai (Kushoto) akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kiraia ya Haki elimu Tanzania, Dkt. John Kalage boksi lenye vipeperushi vyenye ujumbe wa usalama barabarabani.Kamishina Msaidizi wa Polisi na Mkuu wa Operesheni Kikosi cha Usalma barabarani Makao Makuu, Abdi Issango, (Kulia) akiongozwa na Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai (wapili kulia). …Abdi Issango, ( Kulia ) akisalimiana na Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GSM, Matina Nkurlu.
Mashindano ya Usalama Barabarani ‘Kamanda Cup’ yamezinduliwa katika viwanja vya Tanganyika Pakers jijini Dar es Salaam na jumla ya timu 128 za waendesha bodaboda wa mkoa wa Dar es Salaam zinashiriki.
Lengo la michuano hiyo ni kutoa elimu kwa madereva wa vyombo vya moto, mashindano hayo yameandaliwa na jeshi la Polisi kwa kudhaminiwa na kampuni ya GSM Tanzania ambayo yanatarajiwa kuchukua zaidi ya miezi mitano kumalizika.
JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO