Zamu Ya AY Kutesa Na Victoria Kimani Kwenye ‘Loving You’ Video Mpya
AY ametupia macho Kenya na kumkamata mwanadada Victoria Kiman kumshirikisha kwenye video ya wimbo wake mpya, ‘Loving You’
Video imeongozwa na Msafiri toka Kwetu Studio.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.