Wiki hii zilifanyikia zile tuzo za Screen Actors Guild, tuzo ambazo zimezungumziwa sana na zimeleta mafanikio kwa baadhi ya filamu ambapo tuzo nzito ilikwenda kwenye filamu ya Black Panther na timu nzima.