×

Oscar Nyerere Alivyompigia ‘MAGOTI’ Naibu Waziri SHONZA! – VIDEO

Ni usiku wa Chekelea Stand Up Comedy, katika ukumbi wa Kebbys Hotel iliyopo Mwenge, ambapo wasanii kibao wa vichekesho akiwemo Oscar Nyerere, Black Passy, JK Comedian na wengine wengi wanafanya shoo ya kuwavunja watu mbavu.

Katika uzinduzi huo Muandaaji na msimamizi wa kundi hilo la Chekelea Comedy, Oscar Nyerere, amejikuta akishindwa kujizuia na kupiga magoti mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa, Juliana Shonza, kama ishara ya kumshukuru na kumpa moyo katika safari yake ya sanaa.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO


Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club