×

SIMULIZI ZA VITABUNI: Dhambi Takatifu(Sehemu 5 – VIDEO

SIMULIZI ZA VITABUNI: Dhambi Takatifu(Sehemu 5) Simulizi ya Dhambi Takatifu ni simulizi inayowazungumzia maisha ya vijana wawili,Carolina na Aidan waliotokea kushibana kiurafiki tokea wakiwa wadogo.

Uhusiano huo wa kirafiki baadae ulichochea hisia za kimapenzi baina hayo baada ya Aidan kuonesha hisia za kimapenzi kwa rafiki yake Carolina,

MTUNZI: Hashim Aziz,

MSIMULIZI: Ananias Edgar