×

“LISSU Ni Shemeji Yangu Arudi Tumsaidie Kulia, Anataka URAIS” – WAITARA

MBUNGE wa Ukonga, Mwita Waitara, amemwambia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, arudi nyumbani ili haki yake iweze kutendeka kwani kuendelea kulichafua Taifa huko Marekani hakuna faida yoyote.