×

KASHESHE ZA RC MWANRI ZINAENDELEA “NAWACHOTA JUMLA JUMLA” – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ameendelea na kampeni yake ya kukomesha mama wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano kutozwa pesa wanapofika hospitali.