
Msanii wa Tanzania Juma Jux amevuka boda mpaka Kenya kumfwata Nyashinski na kumshirikisha kwenye wimbo wake wa Inscase You Don’t Know.
Video imetengenezwa Nairobi Nchini Kenya na muongozaji Hascana , audio ikiwa imetengenezwa na watengenezaji wawili ambao ni Bob Manecky na Elipiano.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
