×

Harmonize – Vibaya (Official Audio)

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize Aprili 12, 2021 ameachia wimbo huo aliopa jina la #VIBAYA . Kwenye wimbo huo Harmonize anaongea na X wake ambaye ameachana nae kwa vita hivyo anamsihi watunziane siri licha ya kutengena kwao

Kuna mistari inapatika kwenye wimbo huo kama hii “Hata maadui zangu walikuwaga maadui zako hawawezi kukupenda wanakuvuta uwe kichekesho”. Harmonize ameendelea kwa kuimba “Maana hata ukisambaza picha zangu za aibu ni sawa hata hunikomoi/ Hata utupu wako ukitautandaza kwa watu wangu wa karibu hujengi hubomoi”

Harmonize hajaishia hapo ameendelea kumsihi X wake kuwa amtunze mtoto wake kwani kuna kamchezo kabaya kanaendelea. “Mama kuna kamchezo mtunze mtoto wako na watu wenye majungu/ Nilikubali kuviacha vya dezo sababu ya mapenzi yako nikaachana na mzungu”

Leave a Comment