JPM na Profesa Yuanil wakibadilishana ‘vineno’ kadhaa.

Rais John Magufuli leo amekutana na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu, Prof. Zhao Yuanil, Ikulu Jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo.
PICHA NA IKULU