Habari BENKI YA AZANIA YAPANUA MTAJI Last updated Mar 20, 2019 Share Benki ya Azania leo imetangaza rasmi kuchukua mali na madeni ya Benk M baada ya kushindwa kujiendesha. Akizungumza kwenye mkutano na wanahabari Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania Charles Itebe, amesema wameamua kutangaza hivyo baada ya kupata baraka zote kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Mkurugenzi huyo amesema kwa sasa benki ya Azania imekuwa moja kati ya benki kubwa hapa nchini baada ya wanahisa wake kuiongezea mtaji wa bilioni 120.5 Wanahabari kazini wakati wa hafla hiyo. Mofisa wa Benki ya Azania wakisubiri maswali kutoka kwa wanahabari. Maswali yakiendelea. HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS / GPL AZANIA BENKIBenki ya Azania Share
Comments are closed.