×

LIVE VIJIWENI: TZ Vs UGANDA – Nani Atatoka Salama Taifa? – VIDEO

Kuelekea Jumapili katika mtanange wa kukata na shoka kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (TAIFA STARS) dhidi ya timu ya taifa ya Uganda utakaochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar…

Globval TV imepita mtaani na kuzungumza na mashabiki wa Taifa Stars je wanauzungumziaje mchezo huo, ambao endapo Tanzania itashinda basi itakuwa imefuzu michuano ya AFCON na safari ya kuelekea Egpty itakuwa imeiva…