The House of Favourite Newspapers

IRENE ATAJA SIRI YA KUAMBIWA ANARINGA!

Irene Paul

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Irene Paul amefunguka kuwa kitu ambacho hakipendi ni kujicha-nganya na watu ambao hawajui kiundani na ndiyo maana wanam-uambia anaringa.  Akizun-gumza na Showbiz Xtra, Irene alisema alijifunza kutoka kwa wazazi wake kutulia nyumbani na siyo kwenye majumba ya watu kwa sababu ya kukwepa majungu.

“Hakuna kitu ambacho nakichukia kama kujichanganya kwenye makundi ambayo nayajua mwisho wa siku yazuke maneno yaingie mambo ya kusutana kitu ambacho ninakiogopa sana,” alisema Iren

Comments are closed.