×


Amani

ANASWA KWA WIZI FEDHA MTANDAONI

MOROGORO: Kijana mmoja ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikupatikana mara moja amepokea kochapo kutoka kwa wananchi waliomshutumu kuiba pesa kwa njia ya mtandao wa simu.   …

SOMA ZAIDI

MIMBA YA TANASHA FAMILIA YACHEKELEA

DAR ES SALAAM: Mpenzi wa sasa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ameibua gumzo kufuatia muonekano wake wa sasa unaomuonesha akiwa na…

SOMA ZAIDI

MASTAA BONGO WAISHI KWA NAMBA 9

UKIONA mtu anatukanwa halafu anacheka ujue maisha yake yanaongozwa na namba 9. Uzuri wa namba hii ni kwamba hutoa majibu sahihi kutegemea mtu anaposimama wakati…

SOMA ZAIDI

WEMA WA SASA ANAFELI WAPI?

KWA takriban miaka kumi tangu mrembo wa Taifa, Wema Sepetu atwae Taji la Miss Tanzania hakuwahi kuchuja. Kama ni moto ulikuwa unawaka kila uchwao. Tangu…

SOMA ZAIDI


KISA PIERRE SHILOLE YAMKUTA

YAMEMKUTA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kujikuta akishambuliwa kwa maneno makali na wananzengo kutokana na kauli yake ya…

SOMA ZAIDIKIM NANA AMNASA MRITHI WA MONDI

MUUZA nyago maarufu Bongo, Lillian Kessy ‘Kim Nana’ ambaye kuna wakati aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond…

SOMA ZAIDIMRITHI WA MONDI NI HUYU ?

 MAMBO ni moto, huko Instagram kumechafuka watu wanamsaka kwa udi na uvumba mrithi wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa mzazi mwenzake Zarinah Hassan ‘Zari The…

SOMA ZAIDI

IRENE ATAJA SIRI YA KUAMBIWA ANARINGA!

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Irene Paul amefunguka kuwa kitu ambacho hakipendi ni kujicha-nganya na watu ambao hawajui kiundani na ndiyo maana wanam-uambia anaringa.  Akizun-gumza…

SOMA ZAIDIVIKOBA VYAZUA BALAA DAR !

KIKUNDI cha Vicoba cha Upendo chenye masikani yake huko Kibugumo-Kigamboni jijini Dar kimejikuta katika sintofahamu kufuatia mweka hazina wake aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Bakari…

SOMA ZAIDI


UGONJWA WA KUHARISHA KWA MTOTO -2

Wiki iliyopita tuliwaeleza kirefu kuhusu ugonjwa wa kuhara kwa watoto, leo tunamalizia makala hayo kwa kueleza dalili zake na matibabu yake, ni vema kujua hayo…

SOMA ZAIDI


ODAMA: MUDA WA KUOLEWA BADO

LICHA ya umri kuonekana kuanza kumtupa mkono, muigizaji mkongwe Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa, hababaishwi na ndoa ambazo wanafunga baadhi ya mastaa wenzake…

SOMA ZAIDI