Mkapa afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC
Global Publishers March 28, 2019
SHARE THIS:
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa (kulia), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, alipomtembelea ofisini kwake akiwa na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe (kushoto), Dar es Salaam, jana.Wakati wa kuagana.