
Kituo cha Kuzalisha na Kusambaza Umeme cha Mlandizi mkoani Pwani kimungua kwa moto.

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na tayari kikosi cha zimamoto na uokozi kimeshafika kutoa msaada.

Taarifa iliyotolewa na TANESCO inasema chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika na uchunguzi unaendelea.
