NAHODHA wa Timu ya Simba John Bocco amesema kuwa hayakua malengo yao kutovuka hatua ya Robo fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika watajiandaa tena kwa mwaka mwingine kutokana wanaamini watachukua ubingwa.