The House of Favourite Newspapers

Kayumba Amfungukia Uwoya

BAADA ya kutamba na Ngoma ya Wasiwasi, msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mshindi wa Bongo Star Search 2015, Kayumba JumaKayumba’ amekuja na ngoma mpya ambayo ndani yake amemuimba staa wa Filamu Bongo, Irene Uwoya.

 

Akichonga na Risasi Vibes, Kayumba ambaye pia ni zao kutoka Mkubwana Wanawe alifunguka kuwa, sanaa ni  ubunifu hivyo kutokana na kumkubali Uwoya ameamua kumuimbia wimbo unaoenda kwa jinala Uwoya.

 

“Ujue katika muziki unaweza kumuimbia mtu yeyote na nimemuimbia Uwoya kwa sababu amekuwa akisapoti kazi zangu mara kwa mara ninapotoa,” alisema Kayumba.

Comments are closed.