Rais Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF). Dkt. Kusiluka ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Ikulu. Uteuzi huu umeanza tarehe 23 Aprili, 2019.