×

WANANCHI, VIONGOZI WANAVYOWASILI KARIMJEE KUMUAGA DKT MENGI

Picha: Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Anne Makinda tayari amewasili katika ukumbi wa Karimjee kuungana na waombolezaji wengine kutoka heshima za mwisho kwa mzee wetu, Dkt. Reginald Mengi.

 

Makamu wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda NI miongoni mwa waombolezaji waliofika kutoa heshima za mwisho kwa Mzee wetu, Dkt. Reginald Mengi.

 

Jaji Mkuu, Prof. Ramadhani na Dkt. Mohammed Gharib Bilal.

 

 

 

 

 

 

Tayari watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa kisiasa wamewasili katika ukumbi wa Karimjee kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Reginald Mengi.

 

Picha: Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka, akisalimiana na baadhi ya waombolezaji katika ukumbi wa Karimjee.

 

Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Anne Makinda tayari amewasili katika ukumbi wa Karimjee kuungana na waombolezaji wengine kutoka heshima za mwisho kwa mzee wetu, Dkt. Reginald Mengi.

 

 

 

 

 

 

Tayari watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa kisiasa wamewasili katika ukumbi wa Karimjee kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Reginald Mengi.

 

MACHOZI YATAKUTOKA: Mwili wa MENGI Ulivyoshushwa Karimjee