×

BREAKING: Mwanachama CCM Atangaza Kurudi CHADEMA, Aanika Mazito!

MEYA wa Ubungo, Boniface Jacob, leo Mei 28, 2019 amempokea Gango Kidera aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Segerea, Mjumbe wa Baraza Kuu la Chadma na  Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kisukuru-Mianzini ambaye hapo awali alitangaza kujiuzulu na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa  kile kilichoitwa kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli katika kuleta maendeleo kwa wananchi.

Kuelewa alichokisema kuhusu kurejea kwake Chadema, fungua video hapo juu.