×

MAANGAMIZI YA GIGY MONEY KWENYE STEJI DAR LIVE (Picha +Video)

Msanii wa Bongo Fleva nchini, Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ , akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
…Akicheza na mpenzi wake stejini
…Akifanya yake.
…Akiwa katika anga la maraha.

Ni furaha tupu!