The House of Favourite Newspapers

Mkurugenzi DCB Bank ashuhudia uwasilishwaji wa Bajeti ya Serikali bungeni

waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo (kulia), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), bungeni Dodoma jana Mara baada ya waziri wa fedha kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk, Ashatu Kijaji akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kulia), bungeni Dodoma jana Mara baada ya Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango  kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk, Philip Mpango (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kulia), bungeni Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto).
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  DCB, Geodfey Ndalahwa (kushoto), pamoja na baadhi ya waalikwa wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa bajeti ya Serikali Bungeni, Dodoma.

Comments are closed.