IKIWA ni siku chache tangu kuwasilishwa kwa Bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019 /20, wabunge wameendelea kutoa michango yao katika bajeti hiyo.