Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli (kulia katikati) akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika jana (Jumanne) Julai 16, 2019, makao makuu ya CCM.
…Akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea jijini Mwanza kwa ajili ya kikao hicho.Kikao kikiendelea.