Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, ameibuka usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Julai 22, 2019 kwenye shoo ya Wasafi Festival 2019 iliyofanyika katika Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi.