Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye ni Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo Agosti 18, 2019 akitoa hutoba ya kufunga mkutano wa SADC jijini Dar es Salaam, amesema kuwa Tanzania ina warembo wengi na wanaume watanashati wengi kwa hiyo watumie fursa kwa wenye kutaka kuoa na kueolewa Tanzania. ” Waheshimiwa viongozi, wageni waalikwa, mabibi na mabwana tumieni fursa hiyo msiondoke hivihivi”.
Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers
Android ===> GooglePlay
iOS ===> AppStore