×

Mama Asimulia: Martha Aliniaga, “Nakufa, Utalia Mama” – Video

Ni Huzuni kubwa na simanzi imetanda kwa familia ya Mchekeshaji, Martha, aliyefariki dunia juzi  Septemba 11, kutokana na ugonjwa wa Malaria.

 

Global TV imefika msibani unapofanyikia msiba huo na kuzungumza na Mama mzazi wa Martha, ambaye amesimulia dakika za mwisho za mtoto wake huyo.