Kupitia aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania anne Makinda aliyewahi kuongoza bunge hilo mwaka 2010, ni moja kati ya wanawake wabunge wenye historia kubwa zaidi kwani aliingia bungeni akiwa na umri mdogo zaidi , ni naibu spika wa kwanza mwanamke bungeni na spika wa bunge wa kwanza kuliongoza bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.