The House of Favourite Newspapers

Mwanamke Anaeishi na Magonjwa Makubwa Matatu, Asimulia – Video

NI mwanamke jasiri, shupavu na shujaa anayepambana na maisha, anajishughulisha huku na kule kuhakikisha familia yake inaishi vizuri na jamii nzima inayomzunguka.

 

Anaitwa, Shahista Alidina almaarufu kwa jina la Shaykaa, mfanyabiashara maarufu nchini, anayeishi akiwa na maradhi makubwa matatu, Figo, Endometriosis pamoja na Anemia (Upungufu wa Damu).

 

Global TV imemtembelea Shaykaa nyumbani kwake na kuzungumza nae ambapo amesimulia historia yake kuanzia anazaliwa hadi kuolewa na kufanikiwa kupata watoto wawili.

 

Comments are closed.