Mbunge wa Jimbo la Longido, Dkt Kiluswa amekuwa mtu wa kwanza kuwahi kufika katika kilele cha Mlima wa Kilimanjaro kati ya watu 132 walioongozana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla kupanda mlima huo.