×

‘Nimevimba Tumbo Kimaajabu, Sili Chochote, Silali… Nisaidieni’ – Video

GLOBAL TV Online inakukutanisha na Amina Mohamed (32) ambaye amevimba tumbo baada ya kujifungua mtoto wake wa mwisho huku chanzo cha kuvimba kwa tumbo hilo mpaka sasa kikiwa hakijajulikana.

 

Kitu cha kusikitisha zaidi ni kwamba Amina anasema tumbo hilo linazidi kuongezeka kila muda na mara ya mwisho alitolewa maji lita 10 katika tumbo hilo.  Kwa sasa hana uwezo wa kula chochote, kutembea wala kumhudumia mtoto wake ambaye tangu ajifungue hajawahi kunyonya maziwa yake.

 

Amina ana watoto wanne kwa sasa. UNAWEZA KUMSAIDIA KUPITIA NAMBA 0712 818160 – Amina Mwiru.

 

Leave a Comment