Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu-HESLB imetoa taarifa mpya kwa wanafunzi waliokosea wakati wa kufanya maombi ya Mikopo yao kwa mwaka 2019/2020.
Taarifa hiyo imewataka wanafunzi kuingia katika Akaunti zao na kisha kufanya marekebisho.
Mwisho wa kufanya marekebisho hayo ni Oktoba 15, 2019.
Kwa taarifa zaidi >>> INGIA HAPA
Au OLAS >>>INGIA HAPA