RAIS John Magufuli na mkewe, Janeth Magufuli, wamejiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 .
Wamejiandikishia Chamwino mkoani Dodoma.