SIMULIZI ya maisha ya Majaliwa Omary inaendelea na sasa tayari yupo nchini Afrika Kusini baada ya kuchukuliwa na ndugu yake.
Kazi iliyompeleka inamshinda na kujiingiza kwenye magenge ya Ukabaji. Tukio ambalo hatalisahau ni wenzake 3 kufariki kwa kupigwa risasi wakiwa kwenye uvamizi.