
Mchamabaji maarufu mitandaoni maarufu kama Mzee wa Ngenga ameshusha kali ya aina yake baada ya kudai kuwa, katika maisha yake ya mahusiano hajawahi kumtongoza mwanamke bali huwa anatongozwa na wanawake.
Mze wa Ngenga amefunguka wakati akipiga stori na Kipindi cha Katambuga kinachoruka kupitia +255 Global Radio ambapo pia ameelezea sakata zima lililosababisha kutekwa.