The House of Favourite Newspapers
gunners X

ZAHERA Atimuliwa Yanga, Mkwasa Atangazwa – Video

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Mshindo Msolla amethibitisha kuwa Klabu hiyo imeachana na Kocha wao Mwinyi Zahera, Pamoja na Benchi la ufundi lililokuwa chini yake kuanzia leo Novemba 5, 2019.

 

Na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa Mchezaji wa zamani wa Yanga kabla ya kuwa Kocha wao, Charles Boniface Mkwasa kwa muda wakati timu hiyo ikitafuta Kocha Mkuu.

Hatua hiyo inatokea siku chache baada ya Yanga kutolewa katika michuano wa CAF Confederation Cup kwa kipigo cha jumla ya magoli 5 -1 kwa mechi ya nyumbani na ugenini dhidi ya Pyramids FC ya Misri. Yanga inarudi kuanza viporo vya ligi ya VPL ikiwa nafasi ya 18 na pointi 7 kibindoni.

Comments are closed.