WASANII wa Bongo Fleva nchini , Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ na Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ usiku wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 wamefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.