The House of Favourite Newspapers

HATIMAYE DK BARIKI ZACHARIA KINGU ALA NONDOZ LEO KCMC Inbo

Mdau wetu Dk Bariki Zacharia Kingu akifurahia mara baada ya kutunukiwa shahada ya udaktari katika Chuo kikuyu cha udaktari KCMC mjini Moshi jana Novemba 16, 2019  .Mtandao huy tunampa hongera na kumtakia kila la Kheri katika maisha yake mapya ya kuhudumia watanzania katika kituo chake cha kazi.
Matina Nkurlu na dada yake Blandina Zacharia Kingu wakifurahia Pamoja na mdogo wao Dk Bariki Zacharia Kingu mara baada ya kutunukiwa shahada ya udaktari katika Chuo kikuu cha udaktari KCMC mjini Moshi mapema Leo.
Matina Nkurlu amble ni kaka yake Dk Bariki Zacharia Kingu akimpongeza mdogo wake mara baada ya kutunukiwa leo Shahada ya udaktari katika Chuo kikuyu cha Udaktari KCMC Mjini Moshi mapema jana.

Comments are closed.