×

Baba Kanumba Hoi, Amwaga Machozi “Rais Nisaidie Nitembee Tena – Video

Baada ya kupata taarifa za kuugua kwa baba wa aliyekuwa muigizaji wa Bongo movies, marehemu Steven Kanumba, Mzee Charles Kusekwa Kanumba, Global TV Online imefunga safari mpaka nyumbani kwa mzee huyo mkoani Shiyanga na kuzungumza nae juu ya hali yake.

 

Unaweza Kumsaidia Baba Kanumba kwa kupitia namba hii

0759 75 20 23 —- JINA CHARLES KUSEKWA MESHACK….

 

Leave a Comment