×

Huu Ndiyo Mji Wenye Paka Wengi Kuliko Binadamu

MJI wa Kafr Nabl uliopo nchini Syria kwa sasa umebakiwa na idadi kubwa ya paka kuliko watu, baada ya miezi kadhaa ya mashambulio ya mabomu kutoka kwa vikosi vya Syria na Urusi.

 

 

Watu wachache waliosalia katika mji huo wa Syria uliolipuliwa na mabomu kibao, hujiliwaza na  mamia ya paka waliopo katika mji huo.

 

Inakadiriwa kuwa katika kila makazi ya mtu aliyesalia katika mji huo anaweza kuwa na paka 15 au zaidi.

 

Baadhi ya wakazi hujificha chini ya vifusi cha nyumba zilizobomolewa ili kujikinga dhidi ya mabomu yanayodondoshwa kutoka angani.

 

Kukamatwa AFISA HABARI CHADEMA, “WALIKATAA KUJITAMBULISHA” – RPC MWANZA

Leave a Comment