×

Mshindi wa BSS Apelekwa Mbeya Kifalme – Video

Fainali za kumi za mashindano ya Bongo Star Search (BSS) mwaka 2019 nchini Tanzania zilizofanyika usiku wa kuamkia Jumatano, Desemba 25, 2019, Meshack Fukuta kutoka mkoani Mbeya aliibuka mshindi baada ya kushiriki shindano hilo kwa mara tatu bila mafanikio, Meshack amewasili nyumbani kwao jijini Mbeya ambapo amepokelewa na umati wa mashabiki.

 

Leave a Comment