×

Orodha ya Matajiri Duniani: Jeff Bezos Bado Anaongoza

 

Kwa mujibu wa Bloomberg Billionaire Index, Mwanzilishi wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos anaongoza kwa utajiri. Ni tofauti na ilivyotarajiwa kuwa atapoteza nafasi hiyo baada ya kupeana talaka na mkewe.

 

Leave a Comment