×

Video: Waziri Kalemani Azindua Mradi wa Njia ya Umeme Geita

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua na kuweka jiwe la msingi katika Mradi wa kusafirisha umeme mkoani Geita, leo Jumamosi, Januari 4, 2020.

Leave a Comment