×

Dkt Shika Hoi, Aanguka Ghafla, Akimbizwa Hospitali – Video

IKIWA ni siku chache zilizopita picha za Dkt Louis Shika zikimuonesha maisha magumu anayoishi, taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa, Shika yupo Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, akiendelea kupatiwa matibabu baada ya kuanguka ghafla na kuokotwa na msamaria mwema aliyemkimbiza hospitalini hapo.

 

Leave a Comment